Sina namna, nimekula mafuta ya taa

ubuntuX

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
1,977
2,200
Wakuu
Kulingana na hali ngumu ya maisha inayopelekea hii stres niliyonayo, nimejikuta nimetia mafuta ya taa kwenye mboga niliyotaka kuilost

Baada ya tukio hilo nilijikuta sina jins zaid ya kuiosha mboga mara kadhaa ili kuondoa harufu na mafuta hayo bila kufanikiw

Ndipo nikaamua kula hivyo hivyo ikiwa na mafuta ya taa kwani nilikuwa sina uwezo wa kubadili maisha na kuishi kwa kujitegemeaj

Wakuu hivi kuna madhara yoyote kitaalamu yanaweza kunipata kwa kupuuzia family isue na kuconcetrate kweny maslah
 
Ongeza Club soda mbili na magadi kijiko kimoja cha chai, itasaidia kurudisha mboga katika hali yake ya kawaida.
 
Back
Top Bottom