Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Kwakuwa mpaka sasa Polisi wameshindwa kujua Roma alipo. Vijana hasa washabiki wa Roma tupo tiyari kufanya kampain ya kupekua nchi yote popote alipo. Yani tupo tiyari kufanya msako nyumba hadi nyumba, Mlima hadi mlima, kichaka hadi kichaka, pori hadi pori.
Ikiwezekana hata na ikulu na yenyewe tuipekuwe maana ipo ndani ya nchi ya TZ.
Haiwezekani haka katabia ka watu kupotea ovyo Tanzania karudi tena. Tusikubali watu wapotee sisi tukae kimya maana hatujui kesho atakuwa ni zamu ya nani.
Hili swala la kushirikiana kumtafta mtu aliyepotea sio geni kivile. Ni kawaida watu kujumuika na kutafta mtu yeyote alitepotea hasa sehem za vijijini. Sasa vijana tupo tiyari kusaidia polisi kupekua nchi nzima kumtafta Roma ikiwezekana hata na Ben Saanane.
Pia Soma: Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara