MKOA WA GEITA UTAKUWA JANGWA MUDA SI MREFU

martini enock

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
635
273
Wanajamvi Nalazimika kuandika huu ujumbe
baada ya kuona msitu ukivunwa kila uchao

yaani kuna magari yanasomba mkaa usiku kucha katika mkoa huo
mpaka sasa hakuna usimamizi madhubuti wa mazao ya misitu
kama vile mbao, mkaa, nk
limeshakuwa kama shamba la bibi
kila mmoja anajilipa

Nakumbuka waziri mwenye dhamana aliwahi kutangaza kuwa
magari yatakayopatikana yamebeba mkaa bila kibali yataifishwe
mpaka sasa cjasikia kuwa wameshakamata magari mangapi
ambayo yamebeba mazao ya mistu isivyo halali

Waziri magembe lifanyie Kazi hili
hatutaki nchi yetu igeuke kuwa jangwa

pia kumbuka kuwa bila mistu hakuna nchi yenye vivutio

Ni hayo tu kwa Leo
by wapenda uasili.
 
Back
Top Bottom