blackstone
Senior Member
- Aug 11, 2015
- 147
- 128
Vodacom kwa sasa wamekuwa na intaneti yenye spidi ndogo kuliko mitandao yote Tanzania..Wakuu atakaeuona ujumbe huu awafikishie wazee hawa wa hisa.
Tatizo lipo tena kubwa, siyo location hata kama huko mlimani city makao makuu ya voda au tegeta au city centre, au mbeya au mwanza bado tatizo ni lile lile, mimi nipita huko kote sijaona mabadiliko, kasi ni ya mwendo wa kinyonga balaa.Tatizo la internet inaweza kuwa location.. kwangu inafanya vizuri.! airtel inanizingua na nilinunua bundle kubwa.!
hakuna sehemu tunaweza kuwashtaki
Nadhani ni location mkuu, mimi yangu huku inatwanga kama nyegere poriniVodacom kwa sasa wamekuwa na intaneti yenye spidi ndogo kuliko mitandao yote Tanzania..Wakuu atakaeuona ujumbe huu awafikishie wazee hawa wa hisa.
Afadhali Kobe na Kinyonga ambao wakiona hatari huweza kuongeza kasi. Hawa jamaa kasi yao ni ya Konokono Mzee. Majigambo mengi ya 4G si chochote si lolote.Tatizo lipo tena kubwa, siyo location hata kama huko mlimani city makao makuu ya voda au tegeta au city centre, au mbeya au mwanza bado tatizo ni lile lile, mimi nipita huko kote sijaona mabadiliko, kasi ni ya mwendo wa kinyonga balaa.
Unatumia simu ya aina gan?Afadhali Kobe na Kinyonga ambao wakiona hatari huweza kuongeza kasi. Hawa jamaa kasi yao ni ya Konokono Mzee. Majigambo mengi ya 4G si chochote si lolote.
Techno C8Unatumia simu ya aina gan?
Sasa kwan kuna c8 yenye 4g????Techno C8
Labda maeneo ya kwenu, lakini voda ndio mtandao kwenye spidi kulinganisha na mwingine.Vodacom kwa sasa wamekuwa na intaneti yenye spidi ndogo kuliko mitandao yote Tanzania..Wakuu atakaeuona ujumbe huu awafikishie wazee hawa wa hisa.