FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 37,898
- 43,806
Kama isingekuwa ugunduzi wa mafuta uliotokea kwenye nchi nyingi za kiarabu katika karne ya 19 na 20, basi ni dhahiri kwamba leo hii pangekuwa na vichwa vya habari BBC na CNN vinavyosema "Tanzania yaipa Dubai msaada wa tani 20 za mahindi pamoja na maharage tani 5".
Ule utabiri wa " Bukoba kuipiku Dubai kimiundo mbinu ifikapo 2017" unaweza ukachukua sura ya uhalisia kutokana na wanasayansi kujiandaa kuzindua magari yanayotumia maji ya chumvi/ ya bahari (Saline water) badala ya diesel na petrol katika kuendesha engine zake. Hali hii itasababisha nchi zinazotegemea mafuta kama Dubai kuanza kuomba misaada ya mahindi, maharage na hata sukari kutoka kwenye nchi kama Tanzania zenye utajiri wa kupindukia wa maji ya chumvi (Bahari)
==============================
UPDATE: