mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,726
Habari wanabodi ,katika angalia yangu ya movie nakumbuka kwenye series ya 24 Jack Bauer ilitokea akaingia katika site moja hivi kwa bahati mbaya akakutana na underground prison ambazo zina makomandoo waliobobea na hazina records zozote zile kwa askari na mamlaka za ulinzi tulizozizoea (FBI hawazitambui) zinaitwa "Blacksite ".au off record sites au invisible towns
Hizi selo zinakua na wafungwa ambao kutoweka kwao katika dunia hii ya kawaida ilikua ni utata na ni watu ambao wameshindikana na huwa ni ma serial killers na terrorists kwa lugha nyingine zinakua chini ya offrecord authorities.
Nikakumbuka tena askari aliemtishia Nape bastola hana records, nae inaaminika hajulikani nikakumbuka tena kuna watu wanaitwa ma "ghosts " kiusalama ni watu hatari sana kwa sababu wamefundishwa kufanya assissinations,wabobezi wa infiltrations ,impersonalization bila kuacha trace yeyote ile ,wako katika mission maalum za interest za nchi ,au wana combat yeyote yule anayetishia usalama na ulinzi wa nchi ,kwenye record ya authority za ulinzi na usalama wa kawaida hawapo isipokua "kitengo maalum tu deep chakunusa".
Inasemekana hawa jamaa mamlaka zinaweza hata zikafanya process ya ku forge kuzikwa(aonekana amekufa) kubadilisha jina ili tu apate chance yakufanya missions hatari sana na kuwapoteza watakaomfuatilia
Watu hawa huku kwetu tandale tunaamini ni watu wawili tu ambao taarifa zao wanaweza wakaruhusu kutolewa .Mkuu wa kitengo na Rais wa nchi husika kama sikosei vile..kwa sababu wanashughulika na masuala nyeti sana yenye direct impact kwa Taifa ,hawa watu wanaweza hata kuua na majeshi kama police wakimtia nguvuni hua ana demand tu kuongea na boss wao tu nakuachiwa they are UNTOUCHABLES
Sasa je kwakua polisi wamejitahidi sana kumtafuta Ben Saanane hatujapata report yeyote ile ,hata trace yeyote ile hatujaiona na hivi sasa kuna tukio linalo trend kupotea kwa Roma Mkatoliki.
Je hawa wabobezi ambao wanalipwa na kodi zetu wamepigwa training kwa jasho letu watakua wamehusika?Je kama wamehusika kwa amri ya nani?au hawa labda ni majambazi wabobezi tu wameamua kuichafua serikali yetu ,au hawa ni kikundi tu cha wahuni kama "panya road" wale ambacho labda kimepata mafunzo ile nchi jirani ambayo wapinga mfalme wengi huwa wanapotea, kuyeyuka na kukutwa mto kagera?