Ielewe nchi yako usiwe mtu wa kuburuzwa

shiddi

Member
Jun 12, 2016
16
13
Ielewe nchi yako wapi ilipo na wapi inapoelekea.

Soma sana na fanya utafiti mwisho wa siku utakuwa sio mtu wa kuburuzwa na wala sio mtu wa kufuata mkumbo.

Watanzania tumekuwa watu fulani hivii mtu akiongea hili kwa sababu ni fulani tunaamini moja kwa moja bila kufanya upembuzi wowote.Usikubali kumkabidhi mtu yeyote yule elimu yako uliyoisotea miaka nenda rudi aifanyie kazi
 
Back
Top Bottom