Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
MWEWE ASIYEONEKANA TANZANIA!!
Huyu Mwewe ni Mwewe wa aina gani?, Anakamata na kula vifaranga bila kuonekana! Kila siku vifaranga vinapungua, havionekani vilipopotelea! Vifaranga vinajiuliza ni nani anayefuatia kesho maana huyu Mwewe haonekani? Mwewe mwenye kutia hofu! Ni nani wa kumzuia huyu Mwewe asiyeonekana asile tena vifaranga vyetu? Tabia za Mwewe asiyeonekana hazijazoeleka! Huyu Mwewe asiyeonekana Tanzania ni Nani?