Polisi huwa wanafanyaje mpaka unasema na ambavyo hukutegemea kusema

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,581
Salam wakuu, n matumaini yangu weekend iko safi.

Leo nazungumzia hili swala la mtuhumiwa anapohojiwa Polisi. Unakuta mtu ameitwa Polisi, the way wanavyomhoji mpaka anasema ukweli na ambavyo hukutegemea.

Sasa najiuliza,Polisi huwa wanatumia mbinu gani au huwa wanafanyaje ili mtu afunguke kila kitu??
 
Kila mbinu kuanzia za kisaikolojia,maneno mpaka vitendo inategemea na ugumu wa mtuhumiwa au shahidi!
 
Muulize Gwajima alipomtukana Pengo aliulizwa maswali na watu mia tano hamsini na tano,,swali aina moja tu unaitwa nani,,unafanya kazi gani??anatoka anakuja mwngine mara mzungu,mara mweusi,mara mwarabu mara muhindi swali hilo hilo. Ila cha moto alikiona mpka akaenda kulazwa kwa pressure
 
Mkuu Babati hakuna mahojiano makali polisi labda ulitaka kumaanisha mahojiano kwa "kina" ila mbinu ni kuulizwa swali nakutoa jibu hata hivyo wajomba wasiovaa uniform aisee wanaroho mbaya kuliko ffu na wanaovaa uniform wote maana si rahisi kwa habitual criminal kuhojiwa afu afunguke hadi kuonesha labda silaha wanapoficha inabidi ukatili kiasi utumike.nadhan lakini.....
 
Sijui huwa wanahoji vipi, mpaka watuhumiwa wengine hupoteza maisha wakihojiwa. Huenda maswali yao huwa magumu sana.
Njia rahisi ya kujua njia za kuhoji ni kufanya kosa mtaani/mtishie maisha Bashite. Ukipelekwa polsi kuhojiwa uje na mrejesho hapa.
 
Back
Top Bottom