Mambo ya umuhimu kufanya baada ya kustaafu ujana wako

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,215
3,683
Maisha ni safari ndefu sana lakini ukishafikia umri wa miaka 30 hapo utakuwa ndio umri wa kustaafu ujana na kuachana ujana.

Baada ya kijana kufika miaka 30 na kustaafu ujana hivyo kuachana na kufanya visivyo vya msingi kama vile kubadilisha wasichana, kwenda club, kukesha bar, kutafuta Malaya, kuacha kukaa vijiweni.

Vitu vya msingi vya kufanya;

1.Aanzisha uhusiano na mdada au mkaka mwenye mwelekeo wa maisha wa kukufanya muyajenge ya baadae.

2.Jenga urafiki na marafiki waliofanikiwa angalau upate exposhure ya mafanikio.

3.Jitahidi utafute fani yoyote ya kukuwezesha uweze kujiajiri na kuajiriwa.

4.Usipende kukaa vijiwe ambavyo watu wengi story zao nyingi ni mpira, siasa na dini kwa maana story hizo zinaweza kukupotezea mwelekeo wako wa maisha.

5.Epuka kukutana au kukaa na watu ambao muda wao mwingi wanazungumzia maisha ya watu.

6.Achana na tabia ya kuhonga bia na pesa.

7.Kama huna ajira unafikia miaka 30 basi tumia plan b ya kujiajiri wewe mwenyewe katika kipindi hiki cha mpito.

8.Kama wewe ni mpenzi wa muziki jitahidi sana uwe unasikiliza bongo fleva za zamani au zilipendwa kwa maana zinamafundisho.

9.Katika uvaaji jitahidi uwe unavaa nguo za heshima lakini pia ubadilike kimawazo.

10.Usiendekeze mambo ya mahusiano na mapenzi kwa mtu ambae hana mwelekeo wa maisha zaidi ya kukunyonya ulichonacho.

Ni hayo tuu wengine mnaweza kuendelea.
 
Maisha ni safali ndefu sana lakini ukishafikia umri wa miaka 30 hapo utakuwa ndio umri wa kustaafu ujana na kuachana ujana.

Baada ya kijana kufika miaka 30 na kustaafu ujana hivo kuachana na kufanya visivyo vya msingi kama vile kubadilisha mademu, kwenda club, kukesha bar , kutafuta Malaya, kuacha kukaa vijiweni,

Vitu vya msingi vya kufanya.

1.AANZISHA UHUSIANO NA MDADA AU MKAKA MWENYE MWELEKEO WA MAISHA WA KUKUFANYA MUYAJENGE YA BADAE

2.JENGA URAFIKI NA MARAFIKI WALIOFANIKIWA ANGALAU UPATE EXPOSHURE YA MAFANIKIO

3.JITAHIDI UTAFUTE FANI YOYOTE YA KUKUWEZESHA UWEZE KUJIAJIRI NA KUAJIRIWA

4.USIPENDE KUKAA VIJIWE AMBAVYO WATU WENGI STORY ZAO NYINGI NI MPIRA, SIASA NA DINI KWA MAANA STORY HIZO ZINAWEZA KUKUPOTEZEA MWELEKEO WAKO WA MAISHA.
5.EPUKA KUKUTANA AU KUKAA NA WATU AMBAO MUDA WAO MWINGI WANAZUNGUMZIA MAISHA YA WATU. ....

6.ACHANA NA TABIA YA KUHONGA BIA NA PESA

7.KAMA HUNA AJIRA UNAFIKIA MIAKA 30 BASI TUMIA PLAN B YA KUJIAJIRI WEWE MWENYEWE KATIKA KIPINDI HIKI CHA MPITO

8.KAMA WEWE NI MPENZI WA MUZIKI JITAHIDI SANA UWE UNASIKILIZA BONGO FLEVA ZA ZAMANI AU ZILIPENDWA KWA MAANA ZINAMAFUNDISHO.

9.KATIKA UVAAJI JITAHIDI UWE UNAVAA NGUO ZA HESHIMA LAKINI PIA UBADILIKE KIMAWAZO

10.USIENDEKEZE MAMBO YA MAHUSIANO NA MAPENZI KWA MTU AMBAE HANA MWELEKEO WA MAISHA ZAIDI YA KUKUNYONYA ULICHONACHO

NI HAYO TUU WENGINE MNAWEZA KUENDELEAA
kwa utawala huu hamna haja ya kushauriwa hivi vitu, automatically screws za kichwa zinakaza kukabiliana na ukali wa mambo:D:D:D
 
Na kama inawezekana..ujitahidi kwa maisha yetu ya kibongo kibongo uwe na kadigree hata kamoja. Kama huna basi hata kadiploma. Kwa lugha nyingine uwe na uwezo wa kuona tangazo kwenye gazeti na kutuma CV yenye mashiko. Otherwise, ukishafika 30 Changamoto za maisha zinakuwa nyingi kiasi kwamba kwenda kukimbizana na vijana wa chuo si mda wake.
 
Asee umeongea ukwl... Lkn hat ivo hap tz ni pagum sn... Yan imagine una maliz chuo ukiw n miak 26..unarud mtaa kusak ajir unakaa miak hat miak 3 bil kaz ya maan tayr una 29..unafany ujasir amali hata miak 3 unakumban n changamot biashar inafeli jap sio wote...hali si nzuri mazngira wenzeshi kw vjana tz...
 
Hii style ya kuandika neno na kuacha kuandika herufi ya mwisho huitwaje?
 
Asee umeongea ukwl... Lkn hat ivo hap tz ni pagum sn... Yan imagine una maliz chuo ukiw n miak 26..unarud mtaa kusak ajir unakaa miak hat miak 3 bil kaz ya maan tayr una 29..unafany ujasir amali hata miak 3 unakumban n changamot biashar inafeli jap sio wote...hali si nzuri mazngira wenzeshi kw vjana tz...

Wewe ni halali ukose kabisa ukose ajira.
 
Maisha ni safari ndefu sana lakini ukishafikia umri wa miaka 30 hapo utakuwa ndio umri wa kustaafu ujana na kuachana ujana.

Baada ya kijana kufika miaka 30 na kustaafu ujana hivyo kuachana na kufanya visivyo vya msingi kama vile kubadilisha wasichana, kwenda club, kukesha bar, kutafuta Malaya, kuacha kukaa vijiweni.

Vitu vya msingi vya kufanya;

1.Aanzisha uhusiano na mdada au mkaka mwenye mwelekeo wa maisha wa kukufanya muyajenge ya baadae.

2.Jenga urafiki na marafiki waliofanikiwa angalau upate exposhure ya mafanikio.

3.Jitahidi utafute fani yoyote ya kukuwezesha uweze kujiajiri na kuajiriwa.

4.Usipende kukaa vijiwe ambavyo watu wengi story zao nyingi ni mpira, siasa na dini kwa maana story hizo zinaweza kukupotezea mwelekeo wako wa maisha.

5.Epuka kukutana au kukaa na watu ambao muda wao mwingi wanazungumzia maisha ya watu.

6.Achana na tabia ya kuhonga bia na pesa.

7.Kama huna ajira unafikia miaka 30 basi tumia plan b ya kujiajiri wewe mwenyewe katika kipindi hiki cha mpito.

8.Kama wewe ni mpenzi wa muziki jitahidi sana uwe unasikiliza bongo fleva za zamani au zilipendwa kwa maana zinamafundisho.

9.Katika uvaaji jitahidi uwe unavaa nguo za heshima lakini pia ubadilike kimawazo.

10.Usiendekeze mambo ya mahusiano na mapenzi kwa mtu ambae hana mwelekeo wa maisha zaidi ya kukunyonya ulichonacho.

Ni hayo tuu wengine mnaweza kuendelea.
Bila shaka vijana wamekusikia vip kuhusu kubet mkuu maana vijana hapo huwaambii kitu.
 
Na kama inawezekana..ujitahidi kwa maisha yetu ya kibongo kibongo uwe na kadigree hata kamoja. Kama huna basi hata kadiploma. Kwa lugha nyingine uwe na uwezo wa kuona tangazo kwenye gazeti na kutuma CV yenye mashiko. Otherwise, ukishafika 30 Changamoto za maisha zinakuwa nyingi kiasi kwamba kwenda kukimbizana na vijana wa chuo si mda wake.
Masanja ulichosema ni sahihi kweli kabisa degree na diploma hata pia vetaa grade c ya fani yoyote ileee
 
Back
Top Bottom