Wasanii mjiongeze

cheguevara

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,348
651
Kweli mtu unafuatwa na watu usiowajua ofisini kwako, mpo zaidi ya kumi mnachukuliwa wanne mnashindwa kuhoji ni kina nani, wanachukua vitu vya studio, hata kunakiri namba ya gari mnashindawa, hata kupiha picha kwa simu, kweli? Harafu mnalalamika nini sasa? Ujinga huu mlipwaswa kuchukua tahadhari hata kuomba utambulisho waostupid kabisa.
 
Kweli mtu unafuatwa na watu usiowajua ofisini kwako,mpo zaidi ya kumi mnachukuliwa wanne mnashindwa kuhoji ni kina nani,wanachukua vitu vya studio,hata kunakiri namba ya gari mnashindawa,hata kupiha picha kwa simu, kweli???harafu mnalalamika nini sasa??ujinga huu mlipwaswa kuchukua tahadhari hata kuomba utambulisho wao,stupid kabisa
kama kosa lilisha fanyika mkuu, huu sio muda wa kutoa povu kwa lawama, wanachohitaji sahv ni umoja na mshikamano ktk kulishgulikia hili kwanza
 
Mkuu hayo unayoyasena at a Mimi nimejiuliza, ila nikawaza zaidi unapopata jambo LA ghafla unaweza sahau vitu muhimu
 
Kweli mtu unafuatwa na watu usiowajua ofisini kwako, mpo zaidi ya kumi mnachukuliwa wanne mnashindwa kuhoji ni kina nani, wanachukua vitu vya studio, hata kunakiri namba ya gari mnashindawa, hata kupiha picha kwa simu, kweli? Harafu mnalalamika nini sasa? Ujinga huu mlipwaswa kuchukua tahadhari hata kuomba utambulisho waostupid kabisa.
Dar kuna wanaume wawili tu, Makonda na Magu, wengine ni picha tu
 
Hapana mambo mengine ni kutujazia habari tu huu ni upuuzi,kundi lao wote hilo walishindwa kujionheza hata kupiga yowe,angekuwa ni mtu kajinyea ghafla wanheweza kupiga picha kwa simu harka na kutuma mitandaoni
 
Kila siku humu kuna maelekekezo ya kufuata unapokamatwa au kuhisi kukamatwa au kutekwa, kwa utekwaji huu watanzania wote tutatekwa na kuanza kulalamikia watu wakati usalama wako ni wajibu wako wewe kwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom