illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
Haiingii akilini mtu huwezi kumudu mlo mmoja kwa siku halafu ananunua smart phone na bando la kukopa unamtetea mtu aliyeficha hela chafu ambazo zinauwezo wa kuendesha nchi kwa miaka mitano lazima ukapimwe akili, ofisini kwake wamejaa raia wa kigeni na wenyeji wamepewa cheap labour hata kama wana vi degree vyao, wanatukanwa na vitoto vya kigabachori.. hii nchi ni ya kijamaa tena kama mi ningekuwa raisi ningepunguza kama sio kumaliza kabisa pengo la wenye nacho na wasiokuwanacho haiwezekani unapita kituo cha daladala unakuta kuna abiria kama 2000 wanasubiri daladala halafu lijitu linapita linaenda kazini na gari yenya seating capacity ya abiria sita mfano noah ningekuwa na mamlaka ningeamuru kila gari binafsi ipakie abiria asubuhi muda wa kwenda kazini we umetoa wapi hela ya kununua gari na mwenzio akose kama sio "wizi mtupu" in Nyerere voice jamaa limetuibia hela hapa hapa sasa linataka kununua nchi yetu halafu kuna vimada wanadiriki kujitokeza kumtetea hili lijamaa sijui kwa nini hawalipigi kitanzi.