Ofisi za TRA Manzese kuhamia Ubungo business park

sechex

Member
Aug 24, 2016
84
39
TRA wamehamisha ofisi iliyokuwepo pale Manzese, kwa sasa zimepelekwa business park Morogoro road karibu na shekilango.

IMG-20170408-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom