Kwanini December 25 kusherehekewa?

Kwanini December 25 kusherehekewa?

jjz

Senior Member
Joined
Apr 3, 2017
Posts
133
Reaction score
75
Wanajamvi,

Jana wakati nikiwa matembezini nikikutana na vijana wenzangu katika kijiwe fulani wakiwa na mdahalo mkali sana kuhusu tarehe 25, kusheherekewa mwenye uelewa mzuri anisaidie na mimi nielewe uhalali wa hii siku.

Mbarikiwe wakati mkilitafakari hili
 
Wanajamvi Jana wakati nikiwa matembezini nikikutana na vijana wenzangu ktk kujiwe Fulani wakiwa na mdahalo mkali sana kuhusu tarehe 25,kusheherekewa Mwenye uelewa mzuri anisaidie na Mimi nielewe uhalali wa hii siku.mmbarikiwe wakati mkilitafakari hili
Unachokoza watu.
 
Wanajamvi,

Jana wakati nikiwa matembezini nikikutana na vijana wenzangu katika kijiwe fulani wakiwa na mdahalo mkali sana kuhusu tarehe 25, kusheherekewa mwenye uelewa mzuri anisaidie na mimi nielewe uhalali wa hii siku.

Mbarikiwe wakati mkilitafakari hili
tarehe 25 ipi unamaanisha ya mwezi gani kama ni wa 12 inasheherekewa kwa sababu ni uliaminishwa au tumeaminishwa ni sikukuu ya "christmass" sasa hayo mengine sijui nini atuyajui maana hatukuwepo huko kabla na waliokuweopo hawapo.
 
Back
Top Bottom