PastorA
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 361
- 275
kauli hii ameisema kupitia ukurasa wake wa Instagram, lakini pia akasema [HASHTAG]#Staytuned[/HASHTAG] kana kwamba kuna taarifa fulani inafuata.
Ame nukuu andiko kutoka kitabu cha ufunuo 13:10.
Kwa namna nchi ilivyo sasa na wasiwasi wa watu wengi ni vizuri viongozi wa dini wakasaidia kushauri taifa na kuomba amani, lakini sio kukaa kimya ilihali watanzania wanakosa matumaini. Leo hii naomba kamati ya amani ipo kimya sana, huu ndio wakati wa kuitisha maombi juu ya nchi na viongozi wetu kwa ujumla.
Mungu ibariki Tanzania.