ZionTZ
JF-Expert Member
- Oct 6, 2009
- 1,283
- 541
nimeisikiliza hii clip inayosemekana ni ya mwisho daaah hadi machozi yamenitoka, jamaa anabusara nyingi mno...na ni very smart nikitizama alivokua bonded na familia yake sipati picha huyu mke wake anahali gani sasa hivi.
tuzidi mwombea apatikane akiwa hali ili aungane na familia yake.
Diaspora tuungane kupaza sauti zetu juu ya haya mambo yanayoendelea huko nyumbani.
tuzidi mwombea apatikane akiwa hali ili aungane na familia yake.
Diaspora tuungane kupaza sauti zetu juu ya haya mambo yanayoendelea huko nyumbani.