Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Kamanda wa Polisi Dar Simon Sirro amemkamata askari feki aliyekuwa amevaa uniform za kakaake na kujifanya polisi,
Mtuhumiwa huyo aitwae Paulo Baruti wa Mpanda Katavi alisema nguo hizo ni za kakaake aitwae Lyanga Baruti anayefanya kazi Central na alipoenda likizo alichukua nguo zake na kutinga nazo mtaani ambapo watu wanaomfahamu walimripoti
Kamanda Sirro pia aliwaambia waandishi wanawake wanavyopenda askari jamaa angewatongoza basi angewakubalia, walipokataa hawapendi askari akawauliza ni nani ambaye yeye angemtokea angekataa? hakuna aliyejitokeza
Pia alizungumzia upelelezi wa kutekwa kwa Roma ulipofikia