moxec
Senior Member
- Sep 22, 2016
- 191
- 205
Habari zenu wana jamiiforums wote ninaimani mpo na afya njema na hatunabudi kumshukuru mungu kwa hilo. Leo nimelileta swali jipya kabisa kwa wabongo wanaoishi au walishawai kufika/kuishi SA,BOTS,NAMIBIA. Hili limekua ni swali sugu linalosumbua kichwa changu kuhusu suala la kupata work permit katika hizi nchi nilizozitaja hapo juu.
1) South Africa
Hawa jamaa ni more advanced kwenye technology barani africa na ndio wanao ongoza kwa uchumi Africa.Nasikia kuhusu suala la ajira kwa wageni imekua ni tight mno hususan kwa wasakatonge wanao tokea third world countries kama Tz.
Nasikia jamaa wanaipa kipaumbele elimu yao, hata ukiwa mtz uki graduate kule kazi unapata, ila ukitoka na degree yako bongo kule unakwenda kuzulula maana mpaka uipate hiyo work permit lazima usote kwa muda ndio uipate. Nasikia ukienda kuomba kazi wanakuuliza una work permit? Na ukienda kuomba work permit wanakuuliza umepata kazi?
2) Botswana
Madaktari,Mainjinia,IT kutoka tz wanafanya kazi katika hii nchi, Naomba kujuzwa upatikanaji wa work permit ya Bots.
3) Sina chochote ninachokijua kuhusuina na upatikanaji wa work permit ya Namibia naomba kujuzwa tafadhali.