MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,094
- 7,225
Mazishi ya mkuu Sir Andy chande (88 years) aliyefariki huko Nairobi Kenya yanatarajiwa kufanyika Jumanne ijayo kwa mwili wake kuchomwa moto mpaka kuteketea wote (cremation.)
Wageni zaidi ya 300 kutoka nje ya nchi wakiongozwa na Freemason mkuu watahudhuria mazishi yatayofanyika hapa Dar. Booking za guest watazofikia wageni mashughuli wa freemason zinaendelea kufanyika kwa kasi ya ajabu hapa jiji zina la dsm.
Kumbuka Sir Andy chande alikuwa kiongozi wa Freemason, mmiliki wa shule ya shaaban Robert, Ashawahi kuwa mkuu wa makumbusho ya Taifa (mkabala na IFM), Mwenyekiti Wa bodi ya TANESCO, mwenyekiti Wa bodi ya reli TRL, mwenyekiti Wa shirika la ndege Tanzania (ATCL).
Wana JF wote mnakaribishwa katika safari ya mwisho ya mwenzetu.
More live updates to come...stay tunnned.
Fatilia video ya uchomaji mwili wa sir Chande hiyo hapo chini uone namna alivyochomwa moto.
NB: kwa wale wenye roho ngumu tu.
Na hapa chini ni video ya namna ibada zao zinavyokuwaga
kwahiyo wale wazee wa Freemason mnakaribishwa sana
kupata uhondo mujarabu.