Nilituma maombi ya kazi hapo tbl ilikuwa tarehe 13/03/2017 katika category ya IT, sasa leo saizi kuna jamaa kanipigia na kuelezea application yangu na kunitaka nitume 25,000/=TSH kwamba nitakapokwenda kwenye interview nitakuwa nimepangiwa kwenye nyumba za wafanyakazi wa tbl.
Namba aliyotumia ni 0752035656
Je kuna ukweli wa swala hili kwa wenye ufahamu wa interview za tbl na kwa yeyote aliyefanya application yao?
Namba aliyotumia ni 0752035656
Je kuna ukweli wa swala hili kwa wenye ufahamu wa interview za tbl na kwa yeyote aliyefanya application yao?