uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 15,929
- 29,946
Pamoja na maneno mengi juu ya Police, kuna Police wengi sana Tanzania wanayofanya Majukumu yao kwa weledi na kulinda Maslahi ya wananchi kwa kufuata taratibu za nchi ....
Hebu tupia picha/Jina/Wasifu wa baadhi ya hawa Police ili wajisikie vyema na kupata moyo wa kufanya vyema zaidi. Tumewasimanga sana ndugu zangu, Naanza na:
- RAJABU - Kituo Cha Manyara, simply the best, logical, Helpful and very straight forward.