Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari zenu wakuu, Najaribu kupata rough estimate ya gharama za kuagiza gari kutoka Japan na mahesabu yangu ni kama ifuatavyo Nimeingia website ya uuzaji magari na kupata gharama za gari kama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakati joto likipanda dhidi ya USA na NK jambo lakujiuliza ni kwamba Wakiduku akikosea kombora moja hata katika majaribio likaelekea Afrika ni nchi gani yenye uwezo wa kulisambaratisha kabla...
0 Reactions
4 Replies
924 Views
Mfano, wazazi wanakabila tofauti. Nikaamua kutokubaliana na zote kisha nikatunga kabila jipya kabisa au mchanganyiko wa Makabila mawili. Kisha watoto wangu wote na wajukuu wote na wajukuu wa...
3 Reactions
75 Replies
6K Views
Kiwanja kilichopimwa na kusajiliwa hutolewa hati.Hiki ni cheti ambacho mmiliki halali wa kiwanja husika hupewa. Zifuatazo ni faida chache za kumiliki kiwanja kilichopimwa na kusajiliwa; 1. Ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mzee mmoja alisema Waafrika tuna FRESH and UNUSED BRAIN. Siku tukisema tubadilishane BONGO wazungu watumie hizi zetu, dunia wanaweza kuihamishia MARS. GIZA LA NJAA Kwa mshtuko kabisa, 60% ya...
11 Reactions
34 Replies
4K Views
Niko hapa mbeya, leo nimejiunga kifurushi cha mwezi mzima ili nifanye kazi zangu vizuri kabisa Nimejiunga saa 2 asubuh ila mpaka muda huu saa 12 jioni hakuna connection ya internet Nimepiga...
3 Reactions
3 Replies
867 Views
Kwa mara ya kwanza tangu kuumbwa kwa dunia hii tutashuhudia opareshen kubwa ya kupandikiza kichwa cha mtu. Tarehe ya opareshen ilishapangwa itakua mwezi wa 12,2017 opareshen itafanywa na...
10 Reactions
221 Replies
22K Views
Kwanza nianze kumshukuru Mungu kwa kuendelea kutupa uhai... Mheshimiwa raisi wa Tanzania na waziri wa UTUMISHI najua huku mitandaoni mnapitia sana....Leo naleta kilio hiki cha sisi baadhi ya...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ameandika Mhe Zitto Zuberi Kabwe Kenya Kuzuia Gesi ya Tanzania: Tanzania ichukue hatua dhidi ya Kenya Wizara ya Nishati ya Kenya imepiga marufuku gesi ya kupikia kutoka Tanzania kuingia nchini...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wanaJF, Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Momba mkoa wa Songwe imemhukumu kijana wa miaka 19 kwenda jela kutumikia kifungo cha miaka 30. Kijana huyo amepatikana na hatia ya kumbaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Siku ya leo Tanzania inaadhimisha miaka 53 ya Muungano mjini Dodoma mgeni Rasmi akiwa Rais wa awamu ya Tano Mh Rais John Pombe Magufuli. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Muungano wa Nchi huru...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Natumai watanzania wenzangu mu wazima Moja kwa moja adi kwenye mada ni kweli kuwa watanzania tuko kimya na kujidai ni wapole katika kufanya maamuzi na kuzingatia sana sheria Ila ukweli ni kwamba...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Uvamiwapo na wezi wakulazimishao kutoa fedha kwenye ATM kwa kutumia kadi yako ya benki ufanye nini? 1.Usikatae wala kubishana nao wasijekukudhuru bure. 2. Ingiza namba yako ya siri kwa kugeuza...
9 Reactions
62 Replies
6K Views
Ni pigo la nafsi na maumivu ya roho pale mtu asiyena silaha (unarmed) anafanyiwa tukio kama hili... [emoji21][emoji21] Raia tunahamasishwa kila siku kutokuchukua hatua mkononi ila kwa polisi...
14 Reactions
133 Replies
14K Views
Wale madaktari walioajiriwa siku chache zilizopita tulitangaziwa wataripoti vituo vya kazi kuanzia juzi Jumatatu(24/4/2017). Sasa huku Tabora mbona hakuna aliyekwisharipoti? Hata kwa mikoa ya...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Baada ya serikali kutangaza amza ya kuwalazimisha wanaouza cd za nnje nao walipe kodi kama wanavyofanya watengenezaji wa ndani( siyo kuzizuia zisiuzwe kama wapotoshaji wanavyosema)kuliibuka watu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna wimbo fulani ulioimbwa na mwanamke! Ni wa zamani kidogo,wenye maathi ya zouk! Unasema,"Nguo ya Kuazima Haistili Mwili" Mara ya Kwanza nilifikiri wameimba wana Njenje! Naomba msaada!
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu ebana Nina mshikaji wangu aliuziwa KIWANJA miaka ya nyuma na maeneo ya mbagala na MZEE mmoja ivi miaka ya 2000. Lakini baada ya miaka kupita yule mzee alianzisha mgogoro wa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwema wakuu. Leo nimemkumbuka mwanamziki kijana aliyetokea kuhit sana kwenye tasnia ya sanaa ya muziki, Akasi Kinzasa maarufu kama "20 percent". Alitokea kuvuma sana na wimbo wake wa "Mama Neema".
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Husika na kichwa cha Habari hapo juu.. Leo ktk kupindi cha Pb cha Clouds Fm,palikuwepo na wageni. Mama Aliedai kujifungua mapacha mwishowe kaambulia kupewa moja wakike baada ya vigisuvigisu...
5 Reactions
89 Replies
10K Views
Back
Top Bottom