mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Mfano, wazazi wanakabila tofauti.
Nikaamua kutokubaliana na zote kisha nikatunga kabila jipya kabisa au mchanganyiko wa Makabila mawili. Kisha watoto wangu wote na wajukuu wote na wajukuu wa wajukuu wakatumia kabila hilo hilo.
Naamini haya Makabila yetu yalianzia kwenye nyumba za watu.
Nikiamua kuanzisha na mimi langu jipya inawezekana? Au milango imeshafungwa karne hizi....
Najaribu kuwaza...
Karibu..