Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu, Wengi wetu ni watazamaji wa habari ITV muda wa saa mbili usiku ni wazi kuondolowa kwa habari za kimataifa Kipindi kimepwaya saaaana hasa kwa kipindi hiki kilicho na mgogoro wa kimataifa...
4 Reactions
34 Replies
5K Views
Ugonjwa wa Wana CCM kuwa wanafiki na kushindwa kukisaidia chama kustawi nauliza utaisha lini? Mfano wa unafki uliopitiliza ni huu wa Mr polepole kutaka kumwadhibu Nape kwa kuwaambia ukweli, sasa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
"Jukwaa la Wahariri limeshtushwa na tukio la kushambuliwa na kuumizwa kwa Waandishi wa Habari wakitekeleza wajibu wao">> ""Kitendo cha watu au mtu kuwashambulia waandishi wa habari walioalikwa...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu, baada ya miaka mingi ya research juu ya swali ambalo nilipata kusikia watu wakibishana sana la "kuku na yai kipi cha kutokea?" Hatimae leo nimepata jibu, kumbe alianza kuku kwa kuumbwa kama...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Tarehe kama ya Leo 26/04/1964 tanganyika na Zanzibar ziliungana .kama ilivyo kawaida kila kitu huwa kina faida na hasara, Ebu tutaje mafanikio na kero ya huu Muungano wetu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama si wachache basi wote humu Jf na wananchi wengine wote hasa sisi wanaume tumekutana na tatizo hili Ukiwa na demu ghafla ukamkosa hewani Siku ukimpata ukamuuliza vipi mbona ulikua hupatikani...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Poleni waasirika wa lile tukio,najua wengine hamjawahi kupatwa na hilo,sasa je kama tulivyozoea lile jukwaa LA wahariri na matamko yenu ,tunangoja kusikia lolote!!
0 Reactions
1 Replies
613 Views
Sielewi hi carbon anaitumia ya nn... Naomba kuelekezwa
1 Reactions
11 Replies
2K Views
WanaJF, Naomba kuuliza.. Yale matofali yanayovunjwa kwa kichwa na wanajeshi kwenye maonyesho yao wakati wa maadhimisho ya dhifa za kitaifa, yanafaa kujengea nyumba? Maana yakiguswa tu, bogojoo.
10 Reactions
178 Replies
22K Views
MFANYABIASHARA anayemiliki duka la vipuri vya magari mjini Tarime, Tumaini Wankyo (28) maarufu Zuma, amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuua bila kukusudia...
3 Reactions
55 Replies
5K Views
Walimu wa shule za Msingi Wilayani Lushoto wameandamana mchana huu wakidai kuwa Posho ya Uhamisho waliyopewa ni ndogo sana, wamepewa laki moja (100,000). Ikumbukwe kwamba Walimu Wilayani Lushoto...
9 Reactions
29 Replies
4K Views
Nadhani mmemuona mtu ambaye ni mlemavu akijishughulisha kwa kuamua kujitafutia riziki .lakini nyie ndugu zetu wa kati kati ya nchi mnapenda kuja huku mjini kuja kuombaomba wakati utakuta mna uwezo...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari, Mzani ukisoma pungufu ya kilo tatu na ushee. Kwa wale wakaazi wa Dar ambao hupata kitoweo chao kwenye bucha za Mwenge kuanzia leo mtakapoona huu uzi kuweni makini. Wauzaji wa nyama bucha...
6 Reactions
37 Replies
7K Views
Waziri Mkuu ameyasema hayo katika Kongamano la Mmomonyoko wa Maadili na vita dhidi ya Dawa za Kulevya lilioandaliwa na BAKWATA. Maneno ya Waziri Mkuu: "Serikali imepanga kushughulikia mtandao...
7 Reactions
50 Replies
6K Views
Mimi nilikuwa byco....tulikuwa tunafanyia mazoezi nyumba ya uwanja wa ccm kirumba... Siwezi kusahau...zile ligi... Baada ya byco nilijiunga na OAU iliyokuwa ikiongozwa na Mchopa.. Tujikumbushe...
0 Reactions
2 Replies
937 Views
Ninaombeni msaada wana JF kwa yeyote anayefahamu serial number na product key za Autocad 2014
0 Reactions
3 Replies
720 Views
Habari za jioni, Kuna kipindi kina kichwa cha habari hapo juu cha utv muda wa jioni ningependa kujua hivi kipindi hiki hakiwezi kuonyesha wataalam wa Tz waliopita SUA.
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Hello JF, leo ningependa kuanzishwe masomo ya Olevel and Alevel ONLINE............ kwa sababu kuna watu wazima haiwezekani tena kujichanganya na vitoto.... mitihani ndio ifanywe kwenye...
0 Reactions
0 Replies
744 Views
Rafiki yangu wa Mozambique kanitumia milioni moja nimtafutie simu kali, kasema kama haitoshi ataniongeza pesa, sasa naomba kujuzwa kwa hapa Tz simu kali inauzwa bei gani? Ina sifa zipi za ziada...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Back
Top Bottom