Mahesabu haya ya ununuzi wa gari ni sahihi?

vampire_hunter007

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
1,034
2,616
Habari zenu wakuu,

Najaribu kupata rough estimate ya gharama za kuagiza gari kutoka Japan na mahesabu yangu ni kama ifuatavyo

Nimeingia website ya uuzaji magari na kupata gharama za gari kama ilivyo hapa chini

56c682f675d4d67853e7ff0f581e065e.jpg


Nikakokotoa hiyo gharama ya dollar kwa kutumia coverter ya google na kupata kama milion 10,200,000 hivi


Nikaingia kwenye system ya tra kupata gharama za kodi kama ilivyo hapa chini
0d14897e6ea8a8a077d37cfbb1ce8f30.jpg


Total tax ni milioni 8,370,000

So jumla ni 18,570,000/-.....Gari yenyewe ni toyota IST ya 2008.....Mahesabu haya ni sahihi, na je kuna gharama nyingine sijaziweka?
 
Serikali ipo desperate kukusanya fedha hata kwa njia za haramu.
 
Serikali ipo desperate kukusanya fedha hata kwa njia za haramu.
 
Back
Top Bottom