carcinoma
JF-Expert Member
- Mar 5, 2017
- 5,059
- 13,758
Kwa mara ya kwanza tangu kuumbwa kwa dunia hii tutashuhudia opareshen kubwa ya kupandikiza kichwa cha mtu.
Tarehe ya opareshen ilishapangwa itakua mwezi wa 12,2017
opareshen itafanywa na madaktari na manesi 150 kwa pamoja wakiongozwa na daktari mtaalamu wa mishipa ya fahamu(neurosurgeon) Sergio Canavero.
Opareshen inakadiriwa kutumia masaa 34.
Gharama za opareshen hii ni dolla za kimarekani mil 30..Inasemekana kuwa dr sergio Canavero alifanya utafiti kwa miaka 30 hadi mwaka huu 2017 ambapo opareshen hii itafanyika..
Walioko interested na medical issues ngoja tusubili kama itafanikiwa na mgonjwa ataishi baada ya hio transplant. Tukae mkao wa kula hadi hio December kushuhudia kitakachotokea