thewajibu
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 236
- 304
Wakati joto likipanda dhidi ya USA na NK jambo lakujiuliza ni kwamba Wakiduku akikosea kombora moja hata katika majaribio likaelekea Afrika ni nchi gani yenye uwezo wa kulisambaratisha kabla madhara hayajatokea au tutatumia yale matofali.
Watalaamu tujuzane nguvu za kijeshi Afrika
Watalaamu tujuzane nguvu za kijeshi Afrika