Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

JB belmont hotel iliyopo maeneo ya posta katika jengo la Benjamini mkapa Tower wameondoa mabango yao,nimeshindwa kuelewa maana yake.Je wamehamia sehemu nyingine au wameisoma number? Naomba kusaidiwa.
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Kama wewe ni Mwanaume na unamalengo ya kuoa ila huna Pesa, hakikisha usioe mwanamke kisura. Kila mwanaume anatamani kumiliki mwanamke kisura kiasi kuwa kila atakapokuwa anapita haoni shobo...
7 Reactions
35 Replies
5K Views
Balozi wa Msumbiji nchini Bi Monica Patricio Clemente akizungumza na viongozi wa TCCIA walioongozana na Makamu wa Rais-Viwanda Bw. Octavian Mshiu wa kwanza kulia, Mkurugenzi Mtendaji Bw. Gotfrid...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu na Wale wataalam wa physics tusaidieni hapa ili jaribio la Korea ya kaskazini la bomu la kinyulya vipi wafrika halitatuathiri? Maana Duh uhai mtamu wakuu
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Dunia inaenda kasi sana. Wanawake Wakristo Tanzania niwaombe zaeni bila kuogopa kwa sababu watanzania bado tupo 45M. Lakini nimeexperience miaka ijayo makanisa yatakosa watu kwa sababu wamama...
3 Reactions
35 Replies
5K Views
Source Tanzania Daima.My take,je ndivyo Biblia inavyofundisha?
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Hivi kwa nini wabunge wasipeleke mswada wa sheria Bungeni itakayoibana serikari kwa kila mkataba wanaotaka kuingia 1:waweke sheria kila Mkataba mpya kabla ya kusign serikari inatakiwa kuijadili...
0 Reactions
0 Replies
908 Views
Jamani hivi mini umuhimu wa cag, kama kila mwaka anakagua anatuambia ubadhirifu umefanyika hapa na hapa then no more further action? Ni kulipotezea taifa pesa kwa kua na utitiri wa wafanyakazi au...
0 Reactions
0 Replies
690 Views
Umofia Kwenu wana JF, Muuguzi kutoka Mara amehukumiwa kwenda Jela Miaka Mitatu au Faini ya laki 6 kwa kosa la kugushi Cheti cha elimu ya sekondari na kukitumia kupata ajira. Mshtakiwa huyo...
6 Reactions
65 Replies
10K Views
https://www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&url=https://www.youtube.com/watch%3Fv%3DG-H26h09Hjk&ved=0ahUKEwiiuPTi96jTAhWCXhQKHc7cBL0Qo7QBCBkwAQ&usg=AFQjCNH4FU3XwFYXCz5ul_6qNmzxiSUTgQ
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Dar es Salaam — Vodacom is reportedly considering an extension of the deadline for the sale of its shares to the public, amid reports the initial public offering (IPO) may be undersubscribed...
0 Reactions
0 Replies
855 Views
  • Closed
Wakuu, Endapo ukapata nafasi ya kuzungumza na mke wa Rais Magufuli, utamwambia nini? Au ukapata nafasi ya kumuuliza swali utamuuliza nini? Karibuni.
7 Reactions
43 Replies
11K Views
Wana JF, Inaonesha kwamba Polisi wa kanda maalumu ya Dar es salaam chini ya Kamanda Sirro wameshindwa kudhibiti matumizi ya waziwazi ya Madawa ya Kulevya Eneo la Mwenge Jijini Dar es salaam...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mtendaji wa kijiji cha Mjawa na mwanakijiji mmoja wameuawa na wale maharamia walioua askari nane majuzi. Hili tatizo ni kubwa mno, Serikali, vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vitumie umakini...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Wanabodi. Kwanza namshangaa Rais wa nchi kuonesha ubaguzi wa wazi kabisa kwa watoa huduma binafsi , amekua na maneno ya kuudhi na kejeli kila akitoa hotuba kwa watoa huduma wa umma , alianza na...
25 Reactions
117 Replies
10K Views
April 10, 2017 KIPINDUPINDU KUIBUKA SOKO LA MABIBO DAR ES SALAAM Soko la wazi la kitongoji cha Mabibo jijini Dar-es-Salaam katika hatari ya kuzua kipindupindu kutokana na mvua zinazoendelea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanaJF Ningeomba kufahamishwa ni kwanini Matiti ya mwanamke hupoteza thamani yake (kama sehemu ya siri ) baada ya kujifungua mtoto. Maana kuona ziwa la mwanamke ambae hanyonyeshi ni sawa na...
3 Reactions
33 Replies
8K Views
Katika kongamano la kumuenzi mwalimu lililofanyika kule Kivukoni alitambulishwa mzee mmoja silikumbuki vizuri jina lake lakini linaelekea kama KASOLI vile; huyu mzee alitoa ushuhuda jinsi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Askofu Gwajima angeeleweka zaidi kama angewasamehe wote msingizia, kumlaza mahabusu na kumpekuwa kwa dhana kuwa alikuwa anajihusisha na madawa ya kulevya kumbe sio. Heshima yake ingeenea duniani...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Gharama zimezidi kila eneo naomba nitoe mfano wa makampuni ya simu zamani ukinunua bando la muda wa maongezi unapewa na mda wa inter net na sms. Lakini leo mda wa maongezi una gharama zake inter...
5 Reactions
101 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…