JB belmont hotel iliyopo maeneo ya posta katika jengo la Benjamini mkapa Tower wameondoa mabango yao,nimeshindwa kuelewa maana yake.Je wamehamia sehemu nyingine au wameisoma number?
Naomba kusaidiwa.
JB belmont hotel iliyopo maeneo ya posta katika jengo la Benjamini mkapa Tower wameondoa mabango yao,nimeshindwa kuelewa maana yake.Je wamehamia sehemu nyingine au wameisoma number?
Naomba kusaidiwa.
Bonge ndio uliesema ukweli,Mwenye hotel alifariki.....na kama unavyojua biashara za kiafrica ...hawaangalii future endapo aliyeanzisha akifariki!
We mtu akifunga biashara yake maanake amefilisika.... hivi ukikaa kimya mdomo utanunka?Si ajabu wameshafilisika na bank kuchukua halali yao.
Mwenye nayo alikua nani???Mwenye hotel alifariki.....na kama unavyojua biashara za kiafrica ...hawaangalii future endapo aliyeanzisha akifariki!