Trip Advisor-Dar to Nairobi

Analyse

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
8,457
2,000
Habari za wakati huu wadau. By jumanne ya tarehe 02/05/2017 natakiwa niwe Nairobi.

Sijawahi fanya safari za upande huo. Nilikuwa naomba maelezo ya jinsi gani naweza kusafiri hadi kufika kule. Estimation ya gharama n.k

Usafiri nnaotarajia kutumia ni bus.

Am counting on you JF members.
 
Newfame

JF-Expert Member
Feb 27, 2015
484
1,000
Basi zuri ni Tahmeed,nauli sina hakika lakini haizidi 100k,uwe na Passport ya karatasi au kitabu kama hutokaa muda mrefu,kitambulisho cha Mpiga kura au cha Uraia,sina hakika kuhusu kadi ya manjano, mi huwa napita na passport ya karatasi ile ya miezi 3.

Uwe na kama 200,000 hivi au 500,000 kwenda na kurudi bila gharama za malazi na chakula utakapokuwa Nairobi.

Ila Nairobi haina tofauti kubwa na Dsm,Zaidi ya mabadiliko ya Pesa.
 
Nashkuru kwa ufafanuzi wako mkuu. Mimi nina passport ile ya kawaida ya kijani,nayo siinafaa??

Alafu hapo kwenye matumizi,kama ww ni mzoefu kidogo basi naomba unipe walau makadilio kulingana na mtazamo wako. Maana kule sitokaa sana,issue yangu inaisha tarehe 3 jioni. So tarehe 4 ntakuwa safarini kurudi Dar.
 
runna

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
335
1,000
Kwa Upande wa Kutokea DSM sijui, Ila cha Muhimu kuwa na Passport na Kadi ya Yellow Fever ...Ukiringanisha na Dar Gharama za Maisha ziko juu Nairobi...
 
Matumizi inategemea utakuwa na Status yako lakin bei ya Chini ya Chai na Chapoo(Chapati) kwa mamantilie wa kule ni 60Ksh ambayo ni kama 1200 Tsh....
Make sure unabadilisha ela zako kabla ya kufika boarder kwa sababu Boarder kuna Matapeli wanaweza kukutapeli....
 
Analyse

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
8,457
2,000
Kwa Upande wa Kutokea DSM sijui, Ila cha Muhimu kuwa na Passport na Kadi ya Yellow Fever ...Ukiringanisha na Dar Gharama za Maisha ziko juu Nairobi...
Ww unajua kutokea wapi? Kadi ya Yellow fever nnayo pia.
 
Analyse

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
8,457
2,000
Matumizi inategemea utakuwa na Status yako lakin bei ya Chini ya Chai na Chapoo(Chapati) kwa mamantilie wa kule ni 60Ksh ambayo ni kama 1200 Tsh....
Make sure unabadilisha ela zako kabla ya kufika boarder kwa sababu Boarder kuna Matapeli wanaweza kukutapeli....
Status yangu ni ya kawaida tu sio matawi. Ila matumizi nnayoyazungumzia ni mfano sehem za kufikia(kulala).
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom