proskaeur
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 1,571
- 4,925
Wakuu habari za mihangaiko…!!!
Katika pitapita zangu mitandaoni nmkutana na habari hii nikaon sio vibaya kushare pamoja nanyi…!!!
katika website ya mwananchi(mwananchi online) kuna habari inasema hivi:
Kiongozi wa kanisa la Enlightened Christian Gathering (ECG) la A.kusini Nabii Stepher Bushiri amemtabiria ugonjwa hatari kiongozi wa upinzani,akisema maombi pekee a imani yake ndio vitamnusuru asitokewe na "kitu kibaya"
Nabii Bushiri pia amesema mwaka wa 2018 utakuwa mgumu kwa Tanzania kuliko wakt mwngin wowote,akishauri wananchi wafanye maombi kuiepusha nchi na hali hiyo!
Bushiri alisema hayo wakt wa ibada ya Pasaka iliyofanyka katk kanisa lake nchini A.kusini na kurushwa moja kwa moa katika mitandao ya kijamii
"Tanzania itapata shida ambayo haijawahi kuiona ,sisi kama kanisa ni jukumu letu kuyaombea mataifa kwa sabab tumeitwa kwa sababu ya mataifa" Alisema Nabii Bushiri akiwa ameshika Bendera ya Taifa ya Tanzania mkononi na shingoni akiwa amejifunga skafu yenye rangi ya bendera hiyo.
'Tunaiombea Tanzania katika mwaka wa 2018,huruma ya Mungu ziwe juu ya Tanzania kwa mwaka 2018.Tunaomba katika jina la Yesu tunaomba ulinzi'.
Wakati akiendelea na maombi hayo katika kanisa lililojaa waumini walioshika bendera za mataifa yao,Bushiri aligeuzia maombi kwa ajili ya kiongozi wa upinzani Tanzania!!
"Tunamuombea kiongozi wa upinzani Tanzania ,,naona tatizo linaibuka kwenye INI lake.Lakini tunaomba huruma ya Mungu ,nazungumza kijasiri kadiri ninavyoweza ,kwa sababu najua hili linatoka kwa bwana"alisema nabii huyo"Narudia nilizungumza hili miezi kadhaa iliyopita ,,lakini narudia kuhusu huyu(mtu)"
Muda mfupi ujao ataanza kuzizima kama mtu anayesikia baridi.Lakini ni shambulizi hatari ambalo linahitaji maombi,,bila hovyo kitu kibaya kitamtokea!!
"lakini mimi na,wewe tunawe kuzuia kama hata yeye ana IMANI"inaweza isitokee sasa lakini tunaomba ulinzi wa maisha yake.
Bushiri aliwahi kutabiri kutokea tetemeko la ardhi alipotembelea Dar es salaam Julai mwaka jana
"Nakumbuka mwezi uliopita Mungu alinituma Tanzania kwenda kuzuia mauti"
Nilikua nasali sa 1:00 asubuhi na nusu yake ikageuka kuwa damu,alisema Bushiri katika mahubiri yake Julai 14, 2016 jijini Dar.
"nilimuuliza Mungu nini maana yake,na Mungu akaniambia 'siku ya damu inakuja"
Nikasem hilo ni nin,niliona watu wakifanya mambo yao na ghafla nikaona damu ardhini na Mungu akaniambia iombee Tanzania.
'Nilipokuwa nikiomba nikaanza kutetemeka ,mwili wangu ulikua ukitetemeka na nikamuuliza Mungu,mtetemeko huu ni nini? Na Mungu akaniambia (hili ni tetemeko la Ardhi na sio Dar kutakua na tetemeko sehemu nyingine ya nchi) alisema Bushiri
Aidha Nabii Bushiri amewaomba waumini wake kuiombea Tanzania ili kuepukana na janga hilo……!!!!
Source:mwananchi.co.tz