N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,121
- 10,230
Tuliambiwa General Tyre Kitafufuka, viwanda vya nguo Kanda ya ziwa na Mbeya vitafufuka, waliobinafsishiwa na kugeuza viwanda godowns watalazimishwa kuviendeleza laah! Wapokonywe nk nk.
Ajabu sisikii tena huu wimbo wa ujenzi wa viwanda, vipi imeshindikana?, si ndo tuliambiwa hicho ni kipaumbele cha 5th phase govt?
Ajabu sisikii tena huu wimbo wa ujenzi wa viwanda, vipi imeshindikana?, si ndo tuliambiwa hicho ni kipaumbele cha 5th phase govt?