Aina mpya ya umiliki fedha Online ( cryptocurrencies)

Zekidon

JF-Expert Member
May 29, 2013
1,903
568
Wakuu, katika pita pita yangu, nimekutana na hili nikaona niwaletee na nyie pia.

Kuna aina mpya ya kumiliki fedha onlione wataalam wanaita cryptocurrencies, naona wenzetu Uganda wameshaanza, kwa aliyeelewa zaidi tujadiliane kuona faida na hasara zake.





 
Back
Top Bottom