Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
AJALI KATIKA MACHIMBO: Watu wawili wamefariki Dunia na wengine watatu wamejeruhiwa na taarifa zinasema kuwa kuwa watu wengine wapatao watatu wakiwa bado wamefukiwa kwenye kifusi cha machimbo ya dhahabu katika kata ya Kitunda mkoani Tabora.
Taarifa kwa kina zinakujia hivi punde...........
Taarifa kwa kina zinakujia hivi punde...........