Bashitee
Member
- Mar 14, 2017
- 89
- 60
Wakuu nimebahatika kumiliki gari langu la pili tangu nizaliwe, la kwanza niliuza, ilikuwa vitz sasa nina IST
Wakuu nina hamu ya kuendesha vibaya sana situliii, vitz nilikaa nayo miaka 4 kwahiyo sina ugeni sana na gari na sasa nina hii IST.
Itaisha ndani ya muda gani wakuu?
Wakuu nina hamu ya kuendesha vibaya sana situliii, vitz nilikaa nayo miaka 4 kwahiyo sina ugeni sana na gari na sasa nina hii IST.
Itaisha ndani ya muda gani wakuu?