Enzymes
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 4,332
- 3,008
Huyu Waziri wa Habari, Michezo na Wasanii Tz si kawaida kwa msomi wa Level ya PhD. Huyu jamaa alikuwa Mwenyekiti wa Tume iliyoundwa kuchuguza sakata la Richmond. Akahitimisha ripoti bila ya kumhoji mtuhumiwa ndg Edward N. Lowassa.
Leo hii ameshindwa muajibisha ndg Daud Albert Bashite kwa kisingizio kuwa upande wa pili hakuhojiwa. Kuna ushahidi usiyo acha dukuduku wa CCTV Camera (Video). Najiuliza alikuwa anafundisha nn huko UDSM?
Dr. Mwakyembe kwa takribani Mwaka mmoja tokea serikali ya awamu ya Majipu iingie madaraka amekuwa ni Waziri wa Katiba na Sheria. Hivyo alikuwa na nafasi kubwa kama Waziri na pia kama mwenyekiti wa Tume ya Richmond kumfungulia mashitaka ndg Edward N. Lowassa, maajabu ni kuwa mtu mwenye ushahidi wote anaomba kijana yoyote wa CHADEMA au Kubenea au Joshua Nassari walete hoja ya Richmond upya Bungeni ijadiliwe!! Kama msomi nilipagawa sn. Hivi huyu ni PhD holder? Hivi huyu ndie alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Richmond? Hivi huyu ndie Mbunge wa CCM? Hivi huyu ndie Mshauri wa Rais (Baraza la Mawaziri)? Hivi huyu ndie alikuwa Waziri wa Katiba na Sheria? Hivi Dr. JPM haoni jipu la Richmond alitumbue?
CCM na serikali wanaiogopa nn Richmond hadi kuficha ripoti na kuwakamata wahusika wote? Iweje Mwakyembe abweke kama mbwa jike asiye ng'ata wakati ushahidi wote anao? Anasubiri nn?
Mwakyembe kama sumu iliingia akilini plz pumzika Ubunge!!
Watanzania tuna akili sana.
CCM na serikali mkilalamika sisi wananchi tusio na mamlaka tufanye nn?