Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu habarini za leo? Nipo njiani naelekea Singida. Naomba anaejua hoteli nzuri ya kisasa iliyopo Singida mjini anijuze. Napenda sehemu safi na tulivu, pia yenye chakula kizuri. Bajeti yangu ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Salaam. Nimekuwa nikipata habari za Nyoka aina ya TIA ambaye ana vichwa viwili, Nyoka huyu ana sifa ya kukaa katika misitu minene, yenye ubaridi mkubwa na unyevu nyevu. Kwa mara ya kwanza...
7 Reactions
68 Replies
34K Views
Habari za asubuhi. Leo Junamosi Katibu Mkuu wa TUCTA atakutana na vyombo mbalimbali vya habari Mkoani Kilimanjaro kuzungumzia agenda mbalimbali kubwa itakuwa ni maandalizi siku kuu ya wafanyakazi...
0 Reactions
2 Replies
914 Views
Nilishasema Mwanzo Lakini Naendelea Kukumbisha Kwani Bado Fursa Zipo Machief Uwekezaji Kuna Watu Wana Hela Lakini Wanashindwa Uchaguzi Sahihi ,Wapi Wawekeze Kutokana Na urahisishwaji wa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Miaka ya nyuma vijana wengi ilikuwa tukienda Club zikipigwa ngoma za dancehall za kina Sean Paul na ngoma nyingine nyingi za mbele ilikiwa tunaruka zaidi kuliko za Bongo lakini wasanii wa bongo na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tangu nimeanza kufanya online pyrchases sijawahi kukutwa na janga la kunihuzunisha. Mi huo naenda kwa machale. Mzigo ukiwa ghali naacha kama naweza kuusplit nanunua nusu ukifika namalizia nusu...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habali zenu waungwana wa jukwa hili pendwa hakika yesu ni mwema sana maana yeye ndo bwwna na mwokoz wetu hakika ukomboz uko upande wetu mbalikiwe sana Nisitake kuwachosha sana waungwana wangu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi MWL.Ajira mpya! Msaada wenu.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi sijui kama kuna umuhimu wa kuwa na polisi,kwa sababu ukifikisha shauri polisi umeisha.Trafiki wako barabarani kunyanyasa raia kwa kulipa faini za ujinga.Hivi polisi wanajisikiaje kwenye...
0 Reactions
1 Replies
849 Views
Katika maeneo ya kongowe kijiji cha kipara mpakani chatu kashindwa kutembea kwa sababu kameza kenge pamoja na kopo la rangi la Lita nne njaa mpaka yoka
8 Reactions
83 Replies
10K Views
Habali wapendwa wote mlio wema na msio wema nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu hawa wanaoitwa wachawi kama mshana jr kitu gan huwasukuma kuloga watu, kwanini huroga watu na inabidi uweje ndo...
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Je ni vizuri rais baba wa wote kuviponda vyuo vingine ambavyo ni nje ya dar es salaam, je sisi tuliokuwa na sifa then tukapata nafasi ya kusoma chuo kingine tutajisikiaje, au ndo tujione matabu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wakuu kuna taarifa ya kuwa Kivuko cha Mv Ukara kimezimika Engine zake kikiwa katikati ya ziwa Victoria huko geita hebu wenye taarifa tupeni update kinachoendelea huko.........Mungu awalinde...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani mimi nimevumilia hadi sasa nimeamua tu nije humu niwape hii taarifa,Kila mara Raisi wetu anasema anataka nchi hii iwe ya viwanda pamoja na Professor Muhongo kasema mtwara kuna umeme mwingi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tembo zaidi ya 20 wamevamia vijiji vya Wenje mpakani mwa Tanzania na Msumbiji wakitokea nchini Msumbiji ambapo tembo wawili wameuawa na wananchi na kuondolewa meno mawili na kugawana nyama yao...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Kuna ajali mbaya sana imetokea maeneo ya Mbezi kwa Msuguli jioni hii mkabala na maegesho ya malori ya kutoka mikoani.Ajali imehusisha gari (daladala) inayofanya safari zake kati ya Mbezi Mwisho na...
3 Reactions
51 Replies
8K Views
Kumekuwepo na nguvu kubwa kuwafulusha machangudoa ktk maeneo yao sasa tujiandae kukumbana na madhira yafuatayo 1.Vitendo vya ngono vitafanyika hovyo hovyo kila mahali ktk mikusanyiko,mfano...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Ndugu mliopo humu JF Naomba ufafanuzi wa hizi nafasi na kazi zake na zinatumika sehemu gani.. 1. CEO---chief executive officers wana apply wapi na kazi zao ni nini 2. Directors---hawa wakurugenzi...
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…