Mzaleee JF-Expert Member Dec 16, 2016 1,943 3,697 Apr 25, 2017 #1 Wakuu kwema...? Naombeni yeyote anaye uza housing au anaye fahamu sehemu ninayo weza pata housing ya laptop aina ya HP,,530 anifahamishe....Asanteni
Wakuu kwema...? Naombeni yeyote anaye uza housing au anaye fahamu sehemu ninayo weza pata housing ya laptop aina ya HP,,530 anifahamishe....Asanteni
sinajinasasa JF-Expert Member Dec 10, 2013 2,988 4,145 Apr 25, 2017 #2 Mi ninayo ya Dell Inspiron 440