Watanzania Wapenda Ushabiki ni dalili ya uzembe

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,162
794
Wananchi wenzangu.
Najua tunapenda kushabikia bahati mbya Mimi sio muumini saaana wa kushadadia siasa.soka wala migogoro Kama ccm vs chadema, Yanga vs Simba na ama Korea ya kas vs USA. Napenda soka Na naicheza, ni mshabiki Sana wa siasa bahat mby sina chama, na vita Mimi ni mbobevu wa chambuzi za siasa na vita.

Watanzania wenzangu, wengine mnazidisha Sana. yanga ni baba enu simba je? Ccm Kama inakosea isikosilewe? utakuta MTU anatetea had inakera.

Yanga tens hawa wanaudhi Sana. Simba so saana. Lakin Dar young African mnakera Sana.

Hizi kwa nchi inayohangaika kujenga uchumi ni dalili mbaya Sana kwenu mashabiki.

MTU mzembe ni anaejua a b c lakn anapuuza na kulipa kisogo jambo la maana. Mh Kitika eti wengine wanahoji kukubali uteuz, wengine eti ni mtumishi wa umma hivyo asingekataa kwangu mim Prof kitila M ni MTU muadilifu alieamua kuwa wazi na anaongozwa na templement zake, ni Msomi huru. Siamini hoja za wengi....
 
Basi kama mambo yote hayo unayajua na umesema ni mtaalamu wa soka, mchambuzi wa vita na siasa.

Ebu tupe kidogo japo tuweze kupata mwanga wa mambo yanapoelekea katika vuguvugu hili ya USA vs N. Korea.

Pia tuambie unacheza nafasi gani uwanjani na majukumu yako ni yapi katika mfumo gani?
 
Kwa sasa tumehamia marekani vs north Korea. Nilibishana kijiweni join Jana MTU mmoja katetea sana USA. Nisawa USA, lakin watu wanakariri Sana. Na utaamini watanzania tuwavivu Sana. Hata kusoma ie kufanya tafiti ili tuje na majawabu ya kitaalam.

USA Vietnam war. Soma kwa nn USA inaonyesha akidhibitiwa. No angetaka angewachakaza Sana lakn Ana interest gani Vietnam?

Korea vs usa ni sawa na kupigana Na kichaa

mkuu chalii soka badae. Lakini matatizo mengi soka la Tanzania na majiran zetu ni tatizo la kuendesha soka kibiashara hilo ndio tatizo kubwa. Bahati mbaya na mashabiki tunafwata tu.



Tuache ushabiki usio na faida ni ulevi tu
 
Tufanyekazi tujenge uchumi wa familiar zetu, maisha yetu Na nchi yetu.

Tufuatilie siasa ya nchi yetu kwa umakini. Tujiepushe kuwa wanachama mazombie.

Baadhi ya nchi wananchi wake hukuti wanashabikia kijinga. Ushabiki wa tija ni ushabiki unaosadia kujenga uchumi
 
Back
Top Bottom