SIRARI: Mzee wa miaka 78 ajiunga na darasa la kwanza

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Waswahili husema ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni, na elimu siku zote haina mwisho.

Huko Sirari Mkoani Mara Mzee wa miaka 78 amejitosa na kuanza darasa la kwanza mara tu baada ya kuhitimu masomo yake ya elimu ya awali.

Mzee Nyamhanga Seguta alifikia uamuzi huo baada ya kuteseka sana na mahesabu katika biashara yake ya kuuza ndizi.
 
Back
Top Bottom