muhomakilo jr JF-Expert Member Jul 28, 2013 14,800 12,844 Apr 25, 2017 #2 Huyo ni wewe?,hebu shusha mguu basi kuna kuna nataka kukitoa kule ndani!..
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,470 70,588 Apr 25, 2017 #3 matairi ya kampun gani hayo..nimeyapenda
carcinoma JF-Expert Member Mar 5, 2017 5,059 13,753 Apr 25, 2017 #4 ndio maana ndege ya malaysia haipatikani
kajembejr JF-Expert Member Jul 31, 2015 1,289 1,316 Apr 25, 2017 #7 Hahahaha hatari ndege lorryscania hizi
miss chagga JF-Expert Member Jun 7, 2013 57,815 49,031 Apr 25, 2017 #9 hawata kuelewa sababu hawaoni takoo
Planett JF-Expert Member Mar 20, 2014 10,470 16,121 Apr 25, 2017 #10 aisee hilo la katikati zuri sana naweza kulipata wapi nikatest kwenye noah yangu?
nobleG Senior Member Sep 12, 2016 194 66 Apr 25, 2017 #12 richaabra said: Click to expand... Cjaelewa hii post inamaana gani positively
Bondpost JF-Expert Member Oct 16, 2011 6,941 10,213 Apr 25, 2017 #14 Hiyo tairi moja ni zaidi ya $20000