Kuna foleni ya Magari Barabara ya Mwai Kibaki, Daraja la Mlalakua limepata kasoro

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,720
55,859
Daraja la Chuma (MABEY BRIDGE) barabara ya muda (DIVERSION ROAD) katika Daraja la Mlalakua Barabara ya Mwai Kibaki hii inayotoka Morroco kwenda Kawe na Mbezi, limepata hitilafu hivyo kusababishafoleni.

Daraja hilo la muda, limetengeneza shomo upande mmoja wa kulia kama unatoka mjini. Hivyo ili dereva apite inabidi alenge bati lililopo ili gari isitumbukie mtoni. Hali hii imesababisha foleni kwani magari mengine yanashindwa kuvuka.

Nashauri yule Kandalasi alokuwa anatengeneza aende kufanyia matengenezo sehemu husika sababu inaleta adha.
47606b5abdeb81deb1c1fbee0d1c719e.jpg
4db9f32dd67aa05ba6b3279b3d25cb60.jpg
524c3e9069e68871f9f4fcf6e04e5e7d.jpg
 
Back
Top Bottom