Vikao vya Harusi Vimepitwa na Wakati?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Wakatabahu

Nahisi yapo mambo ambayo ni mapokeo (Traditional) na tumeendelea kuyakumbatia bila kuzingatia mazingira ya sasa

Mojawapo ni hili la vikao ya Harusi ambavyo mfululizo wake huendana na ukaribu wa tukio...utakuta mlengwa anakupa kadi na kukuhimiza usikose kikao

Nahis kuna haja ya kujitafakari kidogo

1. Wakati huu ambapo maisha yamebana sana na yanahitaji kukimbizana maana zaidi ya KUKAA kikao cha MAsaa kede

2. Muda ambao nautumia KWA KIKAO huenda ni muda ambao ningechakarika kutafuta MCHANGO...hapo hujazungumzia gharama za kikao ambazo tangu vinaanza hadi siku ya TUKIO huenda gharama yake MNAPATA UKUMBI
Mtitu+harusi+na+Jb.JPG

(Mwigizaji wa filamu nchini William Mtitu yupo kwenye mikakati ya kufunga ndoa Septembe mwaka huu. Vikao vimeshaanza katika kurekebisha mambo ya harusi yake, ambayo mwenyekiti wa kikao cha harusi yake ni Jacob)


3. Dunia imesonga sana nahisi unachohitaji ni mchango na si vikao, besides mnaweza kukaa kwa njia nyingi kulingana na maendeleo ya sayansi ya sasa

4. Mengi yaliyokua yakijadiliwa kwa nyakati hizokm ukumbi, vyakula mC, etc kwa sasa ni ONLINE TU besides yameanza makampuni yanayo ORGANISE KILA KITU kwa harusi (Tamasha linakuja mwezi mei)

tizama habari picha (SITANGAZI NI KUKOLEZA MADA

13117865_157791124619173_2016408403_n.jpg


5. Sitazungumzia hili ambalo VIKAO VYA HARUSI vinachangamkiwa kuliko vikao vya KADHIA ama maendeleo





karibu kuchangia kwa sasa
 
Nimejaribu kufahamu maana ya kitu hichi chote sijaelewa, yani padre ndo anahalalisha niingie kwenye ndoa au laa? In what sense?
 
Vikao havina ubaya wowote... Ni kuratibu mambo na majukumu mbali mbali ambayo hutoweza kufanya mwenyewe... Na pia mawazo ya watu ni muhimu...

Ukijifanya mjuaji sana na kutaka kufanya mwenyewe, utaharibu kila kitu...

Madhalani hili wazo ulilolitoa hapa, ukihudhuria kwenye kikao litasaida sana... Mchango wako utakuwa mkubwa sana...


Cc: mahondaw
 
Nimejaribu kufahamu maana ya kitu hichi chote sijaelewa, yani padre ndo anahalalisha niingie kwenye ndoa au laa? In what sense?
Cheti mkuu..una umri gani kwani,mbona ni wazi lazma ndoa itambulike kiserikali so lazma kuwe na kuwafungsha kutokana na imani au makubaliano yenu
 
sio muumini wa sherehe za harusi, ntafanyaga anniversary ya miaka10 hapo kweli nadhani ntakua nastahili hyo michango na vikao btw itarenew penzi letu [HASHTAG]#MYWAY[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom