SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,030
Naona kama watanzania wengi hawajaipa kipaumbele siku hii ya tarehe 25 April ambayo kila mwaka wanaharakati duniani wa kupambana na ugonjwa huo huidhimisha.
Pengine tuko bize na maandalizi ya maonyesho ya kesho ya sherehe za Muungano,lakini hatukupaswa kuiacha siku kama hii muhimu kwa mapambano ya ugonjwa huu ambao saa nyingine uchukua hata uhai wa mtanzania,
Matarajio yangu yalikuwa kuona Leo wizara ya afya kuendesha maandamano ya kupiga vita ugonjwa huu au kutenga maeneo maalumu kwa ajiri ya upimaji wa ugonjwa huo kwa siku ya Leo,
Wakuu wa wilaya au wakuu wa mikoa wakiongoza watu huko mitaani walau kwa Masaa machache kusafisha maeneo ambayo yanasababisha mazalia ya mbu, pengine hata kupuliza madawa sambamba na kutoa elimu, kuendesha zoezi la upimaji wa marelia na hata utoaji wa neti za kujikinga na mbu.