The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,002
- 19,468
Hospitali ya Bugando ni hospitali kongwe na kubwa hapa Tanzania.
Ni hospitali ya rufaa katika mikoa yote ya kanda ya ziwa na mikoa ya jirani.
Cha ajabu na cha kusikitisha hospitali kubwa kama Bugando hawana mashine za MRI wala CT Scan.
Serikali na wamiliki wa hii hospitali wafanye jitihada kuweza kununua hivyo vifaa.
Inashangaza kufika Bugando unahitaji hivyo vipimo ukaambiwa ukavitafte kwenye hospitali ndogo ndogo za watu binafsi.