The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,395
- 20,630
wasalaam,
baada ya salamu, niwataarifu kuwa nimefika kwa mara ya kwanza katika maisha yangu katika mkoa huu, nipo kigoma mjini na nitakaa kwa muda usiopungua miezi miwili ndani na nje ya mji.
nimefanikiwa kupata lodge affordable na nzuri kiasi ninatumaini patanifaa kwa kipindi chote nitakapokuwepo huku. ila nina mambo kadhaa ningependa kusaidiwa kuyafahamu ili niweze ku cope na wenyeji wa mji huu. Ninaomba msaada wenu kunijibu haya maswali;
1. Je ni salama kutembea usiku kwa maeneo ya mjini?
2. Sehemu gani nzuri ambayo ninaweza kuangalia mpira hata ya usiku sana?
3. Sehemu gani nzuri ambayo ninaweza kukaa na kupata kinywaji na vyakula vizuri?
4. Mambo gani muhimu inabidi nijiepushe nayo yasije kuniletea matatizo?
5. je ni usafiri wa aaina gani niutegemee kwa usalama zaidi (hasa mida ya usiku)
6. suala zima la mahusiano ya kimapenzi na wakazi wa mji huu
natanguliza shukrani za dhati kabisa