Watanzania Wapenda Ushabiki ni dalili ya uzembe

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,162
794
Wananchi wenzangu.
Najua tunapenda kushabikia bahati mbya Mimi sio muumini saaana wa kushadadia siasa.soka wala migogoro Kama ccm vs chadema, Yanga vs Simba na ama Korea ya kas vs USA. Napenda soka Na naicheza, ni mshabiki Sana wa siasa bahat mby sina chama, na vita Mimi ni mbobevu wa chambuzi za siasa na vita.

Watanzania wenzangu, wengine mnazidisha Sana. yanga ni baba enu simba je? Ccm Kama inakosea isikosilewe? utakuta MTU anatetea had inakera.

Yanga tens hawa wanaudhi Sana. Simba so saana. Lakin Dar young African mnakera Sana.

Hizi kwa nchi inayohangaika kujenga uchuni ni dalili mbaya Sana kwenu mashabiki.
 
Back
Top Bottom