Hongera mrembo kwa kazi nzuri ya uendeshaji wa kipindi che television cha "Mimi na Tanzania" kinachorushwa na channel ten, kwani kinatoa mchango mkubwa wa kuwajua wenye matatizo makubwa ya kiafya...
Kufanikiwa ni ndoto ya kila mwanadamu aweye yeyote yule mwenye utimamu.
Kila mtu katika kazi yake anataka kufika pahala ambapo atajivunia na jamii itatambua uwezo na aliyofanya.
Nimeandika mambo...
Mganga Mkuu wa Serikali Profesa Muhammed Kambi
Dar es Salaam. Imeelezwa kuwa matumizi ya dawa aina ya antibayotiki kwenye sekta ya kilimo na mifugo yanachangia usugu wa dawa kwa binadamu...
Wakuu nimekaa nikawaza sana, hivi huu mwaka 1947 kwa kifupi huitwa mwaka 47 , una Nini au una kipi cha kipekee maana kila jambo lililopitwa na wakat huusisha na mwaka huu, ukiwa mshamba huitwa wa...
Wakuu habari za muda huu? Natumaini mmeshinda salama.
Niende moja kwa moja kwa nilichotaka kuzungumze japo kwa ufupi.
Mimi ni kijana niliyekuwa nikihangaika kutafuta fursa mbalimbali za kujiajiri...
Kwa madereva wenzangu huku barabarani hawa wenzetu baada ya kuona mbinu zao za tumeanza kuzizoea wamebuni mbinu mpya nayo ni kupanda juu ya miti na kamera zao. Zingatieni sheria muwapo barabarani.
We KAMBAYA huyu jamaa anayeonekana kwe video clip anaingia kwe mkutano wa CUF na kuanza kupiga watu si ndo huyu aliyesagwa na raia wema? Na ni mfuasi wa pro.
Sasa unatuambiaje eti waliovamia ni...
Mimi ni ghalama kubwa sana...alafu ubora wa chakula hakuna,vyoo vichafu sana..sasa sijui uwa ni dili ya dereva kupeleka abiria pale...au mmiliki wa gari ana asilimia yake...
Tunaamini kwamba siku moja tutapaa kwenda mbinguni huku dunia ikisafishwa na wenye dhambi kuondolewa milele. Baada ya dunia kusafishwa mbingu mpya itashuka na ndio makao ya milele kwa wale ambao...
Habarini wakuu,
Hili tukio limetokea Jana usiku. Chanzo cha tukio kuna mtu(mwanamke)
alikuja nyumbani kwa dada(binamu) yangu majira ya saa mbili usiku, muda huo dada yangu. Alikuwa anaongea na...
Amani kwenu ndugu zangu,
Kuna hii tabia inanikwaza sana ingawa sina jinsi ya kuiacha. Huwa sijisikii raha hata kidogo kuwa kwenye mikusanyiko na kupiga soga, hii imenifanya kuwa na marafiki...
Itungwe sheria ya kuchimba dawa ya itakayompa haki abiria kuchimba dawa,na lisiwe ombi la dereva.
Madereva wengine makaidi ,wanata abiria wachimbe dawa..pale sehemu watakayo wao.... Bila kujali...
Kupitia kipindi cha redio ya Efm Leo asubuhi waendesha Bodaboda wanalalamika kunyanyaswa na Polisi na kuharibiwa pikipiki zao wanazotumia kwa muda wa jioni au usiku.
Polisi ilishatoa tangazo na...
Kupitia jarida la uchumi na uwekezaji Investec la Africa Kusini limetaja kampuni ya Vodacom Tanzania kuwa kinara wa mauzo ya data kampuni hiyo imeongeza mapato ya mauzo ya data kwa kipindi cha...