MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,094
- 7,225
Wakuu nimekaa nikawaza sana, hivi huu mwaka 1947 kwa kifupi huitwa mwaka 47 , una Nini au una kipi cha kipekee maana kila jambo lililopitwa na wakat huusisha na mwaka huu, ukiwa mshamba huitwa wa mwaka 47 ,ukiwa taifa duni utaitwa wa mwaka 47, ukiwa na mikwara utaambiwa wewe jichanganye tu kwa kuleta mikwara yako ya mwaka 47, ukiwa hujui kutongoza basi utaitwa wa mwaka 47. etc.
Je kuna siri gani katika huu mwaka maana katika notable years of revolution throught the world I have not come across any significant event related to this year 1947, so, if u know anything potential about this year ,pop out pls for the betterment of all of us.
Karibu ni sana wadau.