Kazi nzuri ya Hoyce Temu

Kazi nzuri ya Hoyce Temu

Abuhunna

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
409
Reaction score
233
Hongera mrembo kwa kazi nzuri ya uendeshaji wa kipindi che television cha "Mimi na Tanzania" kinachorushwa na channel ten, kwani kinatoa mchango mkubwa wa kuwajua wenye matatizo makubwa ya kiafya, na mwishowe kuyaanzishia harambee za kupatiwa tiba, ni jambo linalotoa msaada mkubwa kwenye jamii.
Hongera kwa mchango wako katika kutumikia jamii.
 
Hongera mrembo Kwa mchango wako katika jamii.wewe ni mfano Wa kuigwa
 
At least kwenye kipindi anafanya kitu chenye matokeo chanya kwa jamii kuliko vile vya akina nanihiii
 
Jamii forums.......where we dare.........malizia.......

Where we dare talk openly 1.mboni show 2.wema sepetu: in my shoes 3.lady jaydee diary... To mention a few Preta
 
Last edited by a moderator:
Where we dare talk openly 1.mboni show 2.wema sepetu: in my shoes 3.lady jaydee diary... To mention a few Preta

Acha fujo.

Sasa ulitaka kila mtu aandae kipindi kinachohusiana na mambo ya afya?
 
Acha fujo.

Sasa ulitaka kila mtu aandae kipindi kinachohusiana na mambo ya afya?

Twende taratibu Sumu nimesema hivi at least anafanya kitu chenye matokeo chanya kwa jamii!! Tafakari hili
 
Last edited by a moderator:
Mie mwanzo kutokana na swaga za mamiss nilikuwa najiuliza huyu Dada atawezaje mambo haya ambayo kwa mtazamo wangu warembo wengi wasingeliweza kuyaangaza kwa undani wa kiwango chake ila nilivuokuja kuona kipindi kinaendelea kila wiki nikaona kumbe Dada yuko serous aisee, hongera zake Hoyce Temu.
 
Back
Top Bottom